• slidebg2
  Baadhi ya watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi an waombelezaji wengine wakishiriki katika ibada ya kumuaga marehemu Clarence Nanyaro katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
 • slidebg2
  Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiagana na Mkuu wa Boma, Mzee Gadiel Nanyaro baada ya kumaliza mazishi ya marehemu.
 • slidebg2
  Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu.
 • slidebg2
  Baba wa marehemu mzee Sabaya Nanyaro akiaga mwili wa marehemu mwanaye wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa marehemu.
 • slidebg2
  Mjane wa Marehemu Clarence Nanyaro akiaga mwili wa marehemu.
 • slidebg2
  Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Clarence Nanyaro, aliyezikwa mwishoni mwa juma hili kijijini kwao Nkomaala, wilayani Meru mkoa wa Arusha.

Matokeo ya Uchaguzi

Matokeo ya uchaguzi


Soma zaidi

Vituo vya Uandikishaji

Vituo vya kujiandikisha


Soma zaidi

Uhakiki

Uhakiki


Soma zaidi

Elimu ya Mpiga Kura

Elimu ya Mpiga Kura ni elimu ambayo hutolewa kwa wananchi w...
Soma zaidi

Habari Mpya

Angalia Zaidi

NEC TV

65105
Vituo vya Kupigia Kura
23161440
Waliojiandikisha
390
Wabunge
5350
Idadi ya Madiwani