Habari

Tume yaonya kuhusu Matumizi mabaya ya fedha za uchaguzi mdogo wa Udiwani katika Kata 43

Wasiamizi wa uchaguzi uchaguzi mdogo wa madiwani wa Kata 43 wameonywa juu ya matumizi mabaya ya fedha za za uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 26, mwaka huu.

2017-10-18 17:29:13

Hatujakiuka Sheria kuruhusu Leseni za Udereva, Pasipoti za kusafiria na kitambulisho cha Taifa kutumika Uchaguzi mdogo

Tume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Leseni za udereva, Hati za Kusafiria na Vitambulisho vya Taifa vitatumika kwenye uchaguzi mdogo wa Madiwani wa Kata 43, utakaofanyika Novemba 26 mwaka huu.

2017-10-18 17:14:31

Wasimamizi wa uchaguzi mdogo wa madiwani kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Semistocles Kaijage amewataka wasimamizi wa uchaguzi mdogo wa madiwani kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi ili kuepuka kuisababishia serikal...

2017-10-15 17:09:46

Nec yasisitiza amani na utulivu uchaguzi mdogo wa Madiwani

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Bw. Kailima Ramadhan amewaasa wadau wa uchaguzi kuhakikisha kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani utakaofanyika katika Kata 43, Novemba 26 unafanyika kwa ama...

2017-10-14 19:27:28

Uchaguzi mdogo wa Udiwani katika Kata 43 kufanyika Novemba 26 mwaka huu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 kuwa utafanyika Novemba 26 mwaka huu.

2017-10-04 11:36:21

TUME ya yatoa elimu ya mpiga kura kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na utaratibu wa kutoa elimu ya mpiga kura kila wakati kuhakikisha kuwa Watanzania wanakuwa na uelewa mpana kuhusu masuala ya uchaguzi nahatimaye waweze kujitokeza kwa wingi...

2017-09-15 16:38:04