Habari

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura- Njombe.

Imewekwa: 2015-04-22 16:59:57

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva (kushpoto) , Naibu Katibu Mkuu  na Katibu Mwenezi wa CHADEMA, John Mnyika (kulia), Yusufu Mbungiro ambaye ni Afisa Uchaguzi na Mafunzo taifa wa Chama cha CUF (wapili kushoto) na Allan Bujo ambaye ni Mkuu wa Ulinzi wa CHADEMA baada ya kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako.