Habari

Wananchi wa Mkoa wa Njombe ni mfano wa kuigwa katika zoezi la Uandikishaji kwa kutumia Mfumo wa BVR

Imewekwa: 2015-04-22 16:52:50

Kazi ya kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometrick Voters Registration (BVR), ambao huhusisha uchukuaji wa alama za vidole na picha, jana iliingia siku ya tatu, huku baadhi yao wakipongeza utendaji wake.