Habari

Makamishna wapya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi waapishwa

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mh.Asina Omari kuwa Kamishna waTume yaTaifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar Es Salaam tarehe 16/09/2015 .

2015-09-16 22:53:36

Makamishna wapya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi waapishwa

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mh Mary Longway kuwa Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulujijini 16/09/2015 Dar Es Sal...

2015-09-16 22:39:41

Waandishi wa Habari wakionyeshwa mchakato wa upokeaji uandaaji na usambazaji wa vifaa vya uchaguzi

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Manunuzi na ugavi Bw Eliud Njaila akiwaeleza waandishi wa Habari mchakato mzima wa kupokea vifaa vya Uchaguzi,kuviandaa na kuvisambaza.

2015-09-13 00:03:16

Tume yakabidhi majina ya Waliojiandikisha zaidi ya mara moja kwa Jeshi la Polisi

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw Kailima Ramadhani akikabidhi Daftari lenye majina ya watu waliojiandikisha Zaidi ya mara moja katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Kamishna Msaidizi wa Polisi B...

2015-08-28 11:40:15

Uteuzi wa Wagombea Urais

Uteuzi wa Wagombea Urais

2015-08-21 18:08:46

Mkutano wa Tume ya Taifa Ya Uchaguzi na Viongozi wa Dini

Mkutano wa Tume ya Taifa Ya Uchaguzi na Viongozi wa Dini

2015-08-20 13:25:56