Habari

Tume yateua Mbunge na Madiwani 3 Wanawake wa Viti Maalum

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Ndugu Rehema Juma Migilla kuwa Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) ,kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu H...

2017-09-07 13:50:53

Tume yateua Madiwani 12 Wanawake wa Viti Maalum

Tume imewateua Madiwani Wanawake wa Viti Maalum kumi na wawili (12) kujaza nafasi wazi za Madiwani katika Halmashauri mbalimbali Tanzania Bara.

2017-08-21 15:27:55

Tume yapongezwa kwa usimamizi na matumizi Bora ya rasilimali za Serikali

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuendelea kusimamia matumizi bora ya rasilimali inazopewa na Se...

2017-08-04 20:11:27

Gazeti la MwanaHALISI latakiwa kuiomba radhi tume kwa kuandika Tahariri ya kupotosha jamii

Katika Maoni ya Mhariri ya Gazeti la MwanaHalisi Toleo Na. 402 la Jumatatu, tarehe 31 Julai – 06 Agosti, 2017, yenye kichwa cha habari “Kwa hili, NEC imechafuka zaidi”.

2017-08-01 16:24:37

Tume yaanza maandalizi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Tume yaanza maandalizi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

2017-05-29 15:44:54

Kura zinazoharibika kwenye chaguzi zinasababishwa na wapiga kura kukosa elimu ya mpiga kura.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa kura zinazoharibika kwenye chaguzi zinasababishwa na wapiga kura kukosa elimu ya mpiga kura.

2017-05-29 15:41:23