Habari

Tume yapokea ujumbe kutoka Taasisi ya Tume za Uchaguzi Duniani (AWEB)

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imepokea ujumbe Taasisi ya Tume za Uchaguzi Duniani (AWEB) uliokuja kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya uendeshaji Uchaguzi.

2016-12-05 08:08:07

Wananchi hawawezi kumwajibisha kwa kumwondoa madarakani Mbunge au Diwani.

Mkurugenzi wa wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Emmanuel Kawishe amesema kuwa wananchi hawawezi kumwajibisha kwa kumwondoa madarakani Mbunge au Diwani waliyemchangua.

2016-12-02 12:51:26

Watendaji NEC waaswa kuzingatia maadili

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Bwana Kailima Ramadhani amewaasa Watendaji wa Tume kuzingatia maadili katika utendaji kazi pamoja na maamuzi yanayofanywa katika vikao mbalimbali ili kuongeza ufan...

2016-12-02 11:43:46

Tume yatoa Elimu ya Mpiga Kura shule ya Sekondari ya Wasichana Songea

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa Elimu ya mpiga Kura katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Songea mkoani Ruvuma na kueleza umuhimu wa elimu hiyo katika kuwawezesha wananchi na wadau wa uchaguzi kufahamu tar...

2016-11-29 11:45:54

NEC: Asasi itakayokiuka masharti ya utoaji wa Elimu ya Mpiga Kura kufutiwa Kibali.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imesema haitasita kuifutia kibali cha kutoa Elimu ya Mpiga Kura Asasi yoyote itakayotoa maneno ya kuleta uchochezi au kunadi sera za chama chochote cha siasa kwani kufanya hivyo ni kuk...

2016-11-29 11:31:31

Watendaji NEC wahudhuria mafunzo Dodoma

Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wanahudhuria mafunzo ya siku tano (5) ya Uongozi wa kimkakati yanayofanyika katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma.

2016-11-23 09:13:19