Habari

Uchaguzi Mkuu Marekani : NEC yatoa somo, Watanzania wajifunze kuheshimu Mamlaka.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani amesema jambo kubwa ambalo watanzania wanapaswa kujifunza kutokana na Uchaguzi wa Marekani uliomalizika hivi karibuni ni kwa wanan...

2016-11-21 11:07:00

Mkurugenzi wa Uchaguzi amlilia Spika mstaafu Sitta

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani ameunga na familia ya marehemu kuomboleza msiba wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri, marehemu Samuel Sitta nyumbani kwake jijini...

2016-11-10 14:02:59

Jaji Lubuva ahimiza uwajibikaji NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva amewasihi viongozi na wafanyakazi wa Tume hiyo kuzingatia nidhamu ya kazi ili kuleta ufanisi katika kutekeleza majukumu yao.

2016-11-10 14:00:05

NEC kuzialika Asasi za Kiraia kutoa Elimu ya Mpiga Kura kwa kila Mtanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itazialika Asasi za Kiraia zinazotaka kutoa Elimu ya Mpiga Kura kutuma maombi ya kupata kibali cha kutoa Elimu hiyo ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata Elimu ya Mpiga Kura.

2016-11-02 13:05:37

Tume yakabidhi taarifa ya Tathmini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekabidhi Taarifa ya Tathmini baada ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015 kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu , Sera, Bunge, Kazi , Ajira, Vijana na Walemav...

2016-10-31 15:02:00

TUME YAOMBA KUTOA ELIMU KWA WATUMISHI WA VYOMBO VYA HABARI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa fursa kwa vyombo vya habari kuialika kutoa Elimu ya Mpiga Kura kwa Wamiliki,Wahariri na wafanyakazi wa vyombo hivyo ili kukuza uelewa juu ya sheria, kanuni, na taratibu...

2016-10-18 11:42:18