Habari

DKT. SHEIN ASISITIZA WANANCHI KUENDELEA KUPEWA ELIMU YA MPIGA KURA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Elimu ya Mpiga Kura inayoendelea kutolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika maeneo mbalimbali nchini ni vema ika...

2016-10-14 18:28:42

WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI WATAKIWA KUWA MABALOZI WA ELIMU YA MPIGA KURA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa wito kwa wanafunzi wa shule za Sekondari waliopatiwa elimu ya Mpiga Kura katika maeneo mbalimbali nchini kuwa mabalozi wazuri wa kuifikisha elimu waliyoipata kwa jamii i...

2016-10-12 19:41:09

NEC YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA WIKI YA VIJANA MKOANI SIMIYU.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepongezwa kwa kuanzisha programu endelevu za utoaji wa Elimu ya Mpiga Kura kwa kuwafikia wananchi moja kwa moja katika maeneo yao kote nchini.

2016-10-09 17:48:28

NEC na ZEC zimekutana kuboresha uhusiano na utekelezaji wa majukumu yao

NEC na ZEC zimekutana kuboresha uhusiano na utekelezaji wa majukumu yao

2016-10-07 15:11:19

TUTATOA ELIMU YA MPIGA KURA NCHI NZIMA - JAJI LUBUVA.

TUTATOA ELIMU YA MPIGA KURA NCHI NZIMA - JAJI LUBUVA.

2016-10-03 10:03:56

MWALIMU NYERERE AENZIWE KWA VITENDO – NEC

Viongozi wa vyama vya Siasa wametakiwa kuiga kwa vitendo uzalendo na moyo wa kujitoa aliokuwa nao Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake ili kuliwezesha Taifa kupiga hatua kimaendele...

2016-09-27 09:56:22