Habari

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yapata Mwenyekiti Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) .

2016-12-23 09:05:51

NEC yakutana na viongozi wa vyama vya siasa kuzungumzia uchaguzi mdogo jimbo la Dimani

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka Vyama vya Siasa na wagombea watakaoshiriki Uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani visiwani Zanzibar kuzingatia Sheria , Kanuni, Taratibu na Maadili ili Uchaguzi huo uw...

2016-12-15 17:59:53

Tume yapokea ujumbe kutoka Taasisi ya Tume za Uchaguzi Duniani (AWEB)

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imepokea ujumbe Taasisi ya Tume za Uchaguzi Duniani (AWEB) uliokuja kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya uendeshaji Uchaguzi.

2016-12-05 08:08:07

Wananchi hawawezi kumwajibisha kwa kumwondoa madarakani Mbunge au Diwani.

Mkurugenzi wa wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Emmanuel Kawishe amesema kuwa wananchi hawawezi kumwajibisha kwa kumwondoa madarakani Mbunge au Diwani waliyemchangua.

2016-12-02 12:51:26

Watendaji NEC waaswa kuzingatia maadili

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Bwana Kailima Ramadhani amewaasa Watendaji wa Tume kuzingatia maadili katika utendaji kazi pamoja na maamuzi yanayofanywa katika vikao mbalimbali ili kuongeza ufan...

2016-12-02 11:43:46

Tume yatoa Elimu ya Mpiga Kura shule ya Sekondari ya Wasichana Songea

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa Elimu ya mpiga Kura katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Songea mkoani Ruvuma na kueleza umuhimu wa elimu hiyo katika kuwawezesha wananchi na wadau wa uchaguzi kufahamu tar...

2016-11-29 11:45:54