Habari

NEC: Asasi itakayokiuka masharti ya utoaji wa Elimu ya Mpiga Kura kufutiwa Kibali.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imesema haitasita kuifutia kibali cha kutoa Elimu ya Mpiga Kura Asasi yoyote itakayotoa maneno ya kuleta uchochezi au kunadi sera za chama chochote cha siasa kwani kufanya hivyo ni kuk...

2016-11-29 11:31:31

Watendaji NEC wahudhuria mafunzo Dodoma

Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wanahudhuria mafunzo ya siku tano (5) ya Uongozi wa kimkakati yanayofanyika katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma.

2016-11-23 09:13:19

Uchaguzi Mkuu Marekani : NEC yatoa somo, Watanzania wajifunze kuheshimu Mamlaka.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani amesema jambo kubwa ambalo watanzania wanapaswa kujifunza kutokana na Uchaguzi wa Marekani uliomalizika hivi karibuni ni kwa wanan...

2016-11-21 11:07:00

Mkurugenzi wa Uchaguzi amlilia Spika mstaafu Sitta

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani ameunga na familia ya marehemu kuomboleza msiba wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri, marehemu Samuel Sitta nyumbani kwake jijini...

2016-11-10 14:02:59

Jaji Lubuva ahimiza uwajibikaji NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva amewasihi viongozi na wafanyakazi wa Tume hiyo kuzingatia nidhamu ya kazi ili kuleta ufanisi katika kutekeleza majukumu yao.

2016-11-10 14:00:05

NEC kuzialika Asasi za Kiraia kutoa Elimu ya Mpiga Kura kwa kila Mtanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itazialika Asasi za Kiraia zinazotaka kutoa Elimu ya Mpiga Kura kutuma maombi ya kupata kibali cha kutoa Elimu hiyo ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata Elimu ya Mpiga Kura.

2016-11-02 13:05:37