Sheria Zinazoendesha Uchaguzi Tanzania

Majukumu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi yanasimamiwa na sheria zifuatazo:

1. Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania (1977)

2. Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (Na. 1 ya 1985) Sura ya 343

3. Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa (Na. 4 ya 1979) Sura ya 292

4. Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa (Na. 7 ya 1982) Sura ya 287

     5. Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa ( Na. 8 ya 1982) Sura ya 288