Dira na Dhima

Dira 

Kuwa taasisi makini yenye kukuza Demokrasia kwa kuendesha Chaguzi zilizo  huru, za haki na kuaminika za  Urais na Ubunge katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, na Udiwani Tanzania bara


Dhima

Kulinda Demokrasia na Uadilifu katika mfumo wa Uchaguzi nchini kwa  kuratibu na kusimamia Uandikishaji wa Wapiga Kura, Ugawaji wa Majimbo ya Uchaguzi na  shughuli nyingine zinazohusu mchakato wa  Uchaguzi kwa kushirikiana na wadau.